Genesis 21:2-3

2 aSara akapata mimba, akamzalia Ibrahimu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3 bIbrahimu akamwita Isaka yule mwana ambaye Sara alimzalia.
Copyright information for SwhKC